hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 151
Kuna mmoja ana muogopa mwenzake hapo🚶
Soma tenaBila kuwepo Vanessa Mdee huu Uzi hauna mashiko, plz muweke harak vee mapesaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngojea nikupe jibu langu kuhusu ile issue ya davido na Wizkid siku ile bando liliisha, Wizkid ana kipaji kikubwa Cha kuimba compare na davido hata best naso tu anampita davido kea kipaji Cha kuimba ila kwa kutoa hit songs Davido ana hit songs Kali na nyingi than Wizkid by far.Soma tena
Nani ana mafanikio zaidi katika muziki wao kimataifa??Ngojea nikupe jibu langu kuhusu ile issue ya davido na Wizkid siku ile bando liliisha, Wizkid ana kipaji kikubwa Cha kuimba compare na davido hata best naso tu anampita davido kea kipaji Cha kuimba ila kwa kutoa hit songs Davido ana hit songs Kali na nyingi than Wizkid by far.
Hapo kwenye Mafanikio naona wapo the sameNani ana mafanikio zaidi katika muziki wao kimataifa??
Don jazzy nasikia kastaafuDon jazzy ft Davido
Hiyo itakuwa kubwa kuliko.Najaribu kuwaza Mbosso Ft Kassim mganga... sijui ntapata nini?
Ben Paul & corede belloCollabo hizi za ndani ya Afrika kama zikitokea ni hatari saana....Ni muziki mzuri..
Diamond Platinumz ft Wizkid.
Simi Ft Wizkid
Vanesa mdee ft Burna Boy
Alikiba ft Davido
Patoranking ft Burna Boy
Tiwa Savage ft Yemi Alade
Joe Boy ft Kizz Daniel
Navykenzo ft Wizkid
Sarkodie ft A.K.A
Nasty C ft Sarkodie
Harmonize ft Wizkid
Marioo ft Rema
Jux ft Kizz Daniel
EDDY Kenzo ft Burna Boy
Burna Boy ft Wizkid
Alikiba ft Faly Pupa
Kaligraph Jones ft Sarkodie&A.K.A
NB. Davido Ft Wizkidayo.
Ongeza nyingine ambayo unahisi itakuwa kali
yeah hii nayo itatisha sanaDon jazzy ft Davido