kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 18, 2016 #21 Kyenju said: Ni mchanganyiko wa ndizi, nyama, na maharage. Karibu tupate huu mseto. Click to expand... Bila kusahau ngongwe.....
Kyenju said: Ni mchanganyiko wa ndizi, nyama, na maharage. Karibu tupate huu mseto. Click to expand... Bila kusahau ngongwe.....
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Feb 18, 2016 #22 Preta said: Sasa kwa nini hawaweki kwenye sahani.......?...... Click to expand... Wazipateje?
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,723 Feb 19, 2016 #23 Kitoabu said: Duh! Mukifika Dar munatudharau watu wa Pwani kumbe makwenu munalia kwenye majani ya migomba. Click to expand... Ndezi wewe, hizo ni tamaduni tu wala sio umasikini.
Kitoabu said: Duh! Mukifika Dar munatudharau watu wa Pwani kumbe makwenu munalia kwenye majani ya migomba. Click to expand... Ndezi wewe, hizo ni tamaduni tu wala sio umasikini.
M msikivu66 JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 254 Reaction score 125 Feb 19, 2016 #24 Hebu tuanzie hapo... UTAMADUNI nini?
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,337 Reaction score 2,907 Feb 19, 2016 #25 msikivu66 said: Hebu tuanzie hapo... UTAMADUNI nini? Click to expand... Kabila lako halina utamaduni? Au hauna Kabila?
msikivu66 said: Hebu tuanzie hapo... UTAMADUNI nini? Click to expand... Kabila lako halina utamaduni? Au hauna Kabila?
M msikivu66 JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 254 Reaction score 125 Feb 20, 2016 #26 Kyenju said: Kabila lako halina utamaduni? Au hauna Kabila? Click to expand... Naomba maana halisi ya UTAMADUNI, kwani Ni nini? Mimi kabila ninalo.
Kyenju said: Kabila lako halina utamaduni? Au hauna Kabila? Click to expand... Naomba maana halisi ya UTAMADUNI, kwani Ni nini? Mimi kabila ninalo.
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,999 Feb 20, 2016 #27 salaniatz said: Click to expand... Uwiii iwiee
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Feb 21, 2016 #28 msikivu66 said: Naomba maana halisi ya UTAMADUNI, kwani Ni nini? Mimi kabila ninalo. Click to expand... Nenda kasome kamusi ya kiswahili, utapata maana ya utamaduni. Lakini kwa kifupi ni jumla ya mfumo wa maisha kwa kundi la watu fulani ktk eneo fulani. Inahusisha lugha, chakula, mila, mahusiano nk.
msikivu66 said: Naomba maana halisi ya UTAMADUNI, kwani Ni nini? Mimi kabila ninalo. Click to expand... Nenda kasome kamusi ya kiswahili, utapata maana ya utamaduni. Lakini kwa kifupi ni jumla ya mfumo wa maisha kwa kundi la watu fulani ktk eneo fulani. Inahusisha lugha, chakula, mila, mahusiano nk.