La vida&Paradise hawa nawapenda instruments zao pia muziki wao ni mzito ukisikiliza kwenye mashine ya nguvu utapenda,lakini zaidi mi ni mnazi wa Iron Maiden,always show zao za nguvu sana na wale Nge wa ujerumani.Muziki wa rock ndio muziki bana,vyombo,live hakuna mambo ya kuchezesha CD na kuigiza kama ze comedy