Colabo

Kaniki1974

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
352
22
Magufuli - president
Pinda - vice president
Slaa - Prime minister

Hapo vipi?
 
Ndoto za Alinacha. Hawa kina Slaa ni watu makini lakini we dont want a country run by eccentrics. Huyu Pinda nae kashajionyesha kuwa ni mtu wa dola asie na vision wala nini. Anapenda nchi, mzalendo mzuri tuu, relatively ni msafi na anaexperience nzuri na system..sema inaonekana kiutendaji lowassa alikuwa bora zaidi.. na haya yanasemwa na watu wa PMO. Hakuna kiongozi wa nchi hapa.. Slaa acha ajenge upinzani kwanza ukubalike na watanzania na uonyeshe njia... That is his purpose, criticisms zake bungeni na nje ya bunge zinahitajika..
 
Magufuli mtu makini, sema nae bado anakanjaa flani.. Msidhsni hapigi matukio...lol Maana JF humu watu wakishatongozwa na non-ufisadi basiii.. mnapanua tuu mwaaaa.. Ata magufuli anakulaga bahasha one time one time.. He cud b another mkapa, mkimpa anajipa kweli mnabaki mbona alikua mtu safi, haa.. simmempa kamba ndefu na mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 
Hapo sawa. Lakini VP lazima atoke Zanzibar

Hapo ndio udhaifu. Hata kama hakuna wenye sifa huko? Kama muungano waweza kuwa kikwazo cha ustawi, kwa nini usirekebishwe? Hamad Rashid, any way.
 

Kila chema huanza katika ndoto/mawazo. Hakuna mtu mkamilifu. Ubaya /mapungufu huzidiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…