Kama una hizo four passes tu bila ya kuwa na hesabu, wanataka uwe na cheti au diploma kutoka chuo kinachotambilika au uwe na amzoezi na uzoefu wa ICT kwa miaka 2, wanamini hivi vinaashiria uwezo wako wa kufanya hiyo course ya CS bila shida (wameandika kwa lugha ngumu kidogo, nategemea sijakosea).