COGNITIVE ASSESSMENT Report

joangg

Member
Nov 26, 2014
25
14
Wakubwaa habari za majukumu...
Tuwekane sawaa kwenye hili cognitive report ni kitu gani na nini ? Kuna shirika linataka Cognitive report ili procedure za kuaajili ziendeee:
Je kwa tanzania kuna hizi mambo?? Kama zipo zinafanyikajee??
Nimeuliza nipate elewa na kujifunza in General on this please wadau
 
Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
1,281
2,491
Nenda chuo kikuu cha Dar kitengo cha huduma kwa jamii, Counseling unit utapata huduma mkuu.
Wakubwaa habari za majukumu...
Tuwekane sawaa kwenye hili cognitive report ni kitu gani na nini ? Kuna shirika linataka Cognitive report ili procedure za kuaajili ziendeee:
Je kwa tanzania kuna hizi mambo?? Kama zipo zinafanyikajee??
Nimeuliza nipate elewa na kujifunza in General on this please wadau
 
amadala

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
2,353
6,179
cognitive test checks for problems with your mental function (how your brain processes thoughts.

Kwa Tanzania hii kitu haipo common kiivyo.
All the best Mkuu.
 
Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,682
7,199
Wakubwaa habari za majukumu...
Tuwekane sawaa kwenye hili cognitive report ni kitu gani na nini ? Kuna shirika linataka Cognitive report ili procedure za kuaajili ziendeee:
Je kwa tanzania kuna hizi mambo?? Kama zipo zinafanyikajee??
Nimeuliza nipate elewa na kujifunza in General on this please wadau
Wanataka kukupiga hao. Beware.
 
Call m3 Anwar

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
272
382
Wakubwaa habari za majukumu...
Tuwekane sawaa kwenye hili cognitive report ni kitu gani na nini ? Kuna shirika linataka Cognitive report ili procedure za kuaajili ziendeee:
Je kwa tanzania kuna hizi mambo?? Kama zipo zinafanyikajee??
Nimeuliza nipate elewa na kujifunza in General on this please wadau
Wakenya watakuzidi kete soon tu, kwenye email yao hawajakusuggest utumie tovuti ipi kupata hicho unachokiulizia? Kama wamekupa link kabisa Kimbiaaaaaaaaaaa, weeeziiiiiiiiii
 
BabuMkubwa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,521
1,876
Hii taarifa inahusu uwezo wako wa kufikiri (thinking) ,kuchambua (reasoning) na kukumbuka (remembering) la msingi ni uwezo wa kujifunza na kunasa ulichojifunza kwa lugha rahisi

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom