Hiyo code haijakamilika lakini inakupa idea tuu ya ku query msql kuona kama kuna rekodi ya user_name.
Ni hivi, wakati mtu anajaza form unaweza kuchukua moja ya data zake kama 'user_name' na kuiweka katika orodha ya kuhakiki ambayo itakuwa inafutwa kila baada ya masaa 24 au inawekewa
time stamp. Mtumiaji huyo huyo kama akirudia kutuma tena katika kipindi cha masaa 24 ile data iliyonakiliwa bado itakuwepo kwenye orodha ya wale waliotuma form kwa siku ile. Kwahiyo
mysql_query() ita-return TRUE na kuzuia kutuma form nyingine.
PHP:
if ( mysql_num_rows ( $user_found ) ) {
echo 'You have already logged in today';
exit;
}
kuna njia nyingi za kufanya hivi unaweza kutumia
date(), cookies , $_SESSION au hata
microtime(), kuangalia tofauti ya muda siyo lazima utumie cron job. Kumbuka google ni rafiki yako.