Head prefect
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 225
- 108
atulie kwanza huenda kuna muda maalumu wa kuanza kufanya kazi.Kuna dogo amepata code lkn akicomfirm inakataa sasa sijui tatizo nini
Sent using Jamii Forums mobile app
vp umefanikiwa kucomfirm??Wakuu nimetumiwa code muda wa saa mbili dakika 44 usiku huu kutoka TCU.
Tupeane updates kwa ambao tumepata wakuu
Aise changamotoNimepata toka jana saa 3 kwenye comfirmation inagoma
we umefanikiwa mkuu??