Code Challenge for Dar-es-salaam SVG Map

hyle master

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
23
Napenda kutambulisha kwenu Dar-es-salaam SVG Map code challenge ambayo utatakiwa kutengeneza ramani ya Dar -es-salaam katika mfumo wa SVG .Dhumuni la challenge hii ni kuwa na platform ambayo itawezesha watu ambao wapo kwenye Programing Sector kupata fursa ya kuonyesha skills zao na kupata nafasi ya kusaidia our University students kuonyesha wanacho weza kufanya kulingana na skills ambazo wanazo.



Jinsi ya Kushiriki:
  • Tengeneza mfumo wako wa SVG Map baada kisha waweza uweka kwenye platform Github au CodePen
  • Share nasi link ya kazi ya via this form click here
  • Tutashare learning material na introduction ya SVG Map soon.
 
Challenges kama hizi ni za muhimu sana kukuza knowledge na hamasa ya programming kwa vijana wa kitanzania, lets get joined to support the move coz hata wale learners watakuwa motivated.

I appreciate it.



SIGNED IN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…