DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,338
- Thread starter
- #101
Poa!Tatu kati ya nilizonazo ni
- Nina nyota ya kupendwa na watu na wengine pia uonionea wivu na ninabahati ya kuwatambua haraka
- Mcheshi sana huwezi kuboreka ukiwa nami labda niamue kuuchuna. Nikiwa mahala lazima niache watu kunikumbuka kwa mazuri na kwa lolote lililojiri.
- Najiamini kwenye mengi na pia nikitaka iwe/kiwe namshukuru Mungu naonaga inakuwa.
7.katika kufanya mradi ama biashara nn hukuongoza kupata watu sahihi Wa kujenga teamwork?
Vingezo vipi huangalia!
Tumekwisha!!!...kwa hiyo maadui wote wa bashite wanaojificha nyuma ya keyboard kwa ID fake hapa JF unawajua A to Z???