Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463


Hilo la Hogo au kibamiaMwambie ajiandae vizuri mana maswali yangu ni magumu.

Wew muosha masufuria nawe kuja kutuita kuwa interview imeanza kumbe badoGood evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka kabisa,
Kukidhi kiu yenu!
Cocochanel atakuwa rasmi hapa
Saa kumi na mbili unusu.
Karibuni sana!
cc Transcend
Asprin
Lee empire
Young blood
Niyombire
Billy
Shunie
Numbisa
Sakayo
Emmnitya
Linamo
Carba
Stable woman
Ukhuty
Sergio
Beira
Welcome all!



au masufuria ya kuosha mengi leo na huna steel wool la kuosheaTushafika dear
Ke huyo YoungbloodHuyu carba ni ke au me
Good evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka kabisa,
Kukidhi kiu yenu!
Cocochanel atakuwa rasmi hapa
Saa kumi na mbili unusu.
Karibuni sana!
cc Transcend
Asprin
Lee empire
Young blood
Niyombire
Billy
Shunie
Numbisa
Sakayo
Emmnitya
Linamo
Carba
Stable woman
Ukhuty
Sergio
Beira
Welcome all!
asante muosha kwa kutambua umuhimu wetu me na team yangu nzima tutarudi sa 12 na 30 ikianzaKwa babu kutafuta kadawa ka mvutoMnaenda wapi![]()
![]()
![]()
BilinganyaHilo la Hogo au kibamia![]()
![]()
![]()

Jana nilichelewa mkuu,ila leo tunakesha usiwaze kabisaHivi upooo jana mbona sijakuona kwa miss natafuta
Ahaaa,basi tutaongea vizuriKe huyo Youngblood

KeHuyu carba ni ke au me
Tupo kwenye uzi mwingine hapa tutarudi ikianzaJana nilichelewa mkuu,ila leo tunakesha usiwaze kabisa
Kutuitia wambea huku ndo nini???



Ulijuaje kama hao ni wambea?Kutuitia wambea huku ndo nini???![]()
Wanajaza uzi kwa umbea within a minute!Ulijuaje kama hao ni wambea?
Duh!!Simo kwenye list aisee!!Good evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka kabisa,
Kukidhi kiu yenu!
Cocochanel atakuwa rasmi hapa
Saa kumi na mbili unusu.
Karibuni sana!
cc Transcend
Asprin
Lee empire
Young blood
Niyombire
Billy
Shunie
Numbisa
Sakayo
Emmnitya
Linamo
Carba
Stable woman
Ukhuty
Sergio
Beira
Welcome all!