Coco Beach Bado ni beach pendwa since wayback

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,104
Reaction score
14,029
Wakuu mimi Idd yangu sehemu ya kwanza ndio naimalizia hapa Coco Beach nikijiandaa kwa sehemu ya pili usiku wa leo.

Ukweli kwa Observation zangu kwa muda mchache niliokuwepo hapa Coco Beach nimegundua ni favorite ya wengi bila ya kujali umri na jinsia nimebahatika kuwaona watu wakiwa na furaha leo tofauti na siku za kawaida.

Mimi sio mpenzi wa kuogelea lakini nimeyapa macho yangu kile kinachostahili kwa kuwaangalia wanawake wazuri wakiwa ndani ya swimming costume nikiri kuanzia sasa wikiendi zangu zitakuwa zinaanza na kumalizika Coco Beach.

Kwa vile Coco Beach inatupa furaha WaTanzania basi tunajukumu la kutunza mazingira ya beach yetu pendwa inayotukutanisha watu wote bila ya kujali financial status zetu.
 
Leo tembelea mabeach tu. Usiku ingia kidimbwi
 
Nipo hapa nakula upepo wa bahari mixa na mishikaki.

Hii pilipili ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom