secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,480
Nasikia kule kuna totoz sana π.Haaaahaa π
KULE PANA MFAA ZAIDI comrade_kipepeNasikia kule kuna totoz sana π.
Ngoja nitaenda naye π .KULE PANA MFAA ZAIDI comrade_kipepe
Mrejesho muhimu sanaa Kuna fukwe nzuriii sanaa hapo MAYYOTENgoja nitaenda naye π .
Tuta-enjoy sana aisee!Mrejesho muhimu sanaa Kuna fukwe nzuriii sanaa hapo MAYYOTE
Njoo wewee, πππWewe njoo inbox tuyajenge
Kuingia kule si sehem ya ufaransa, au panaingilikaje kwa ngalawaKULE PANA MFAA ZAIDI comrade_kipepe
πππMpaka muuane wivu sion nipo kwenye penzi langu moto sanaSema mpk uone wivu ππ
Aseeeeπ
Tunauza na emailπHakuna wakununua kikosi kina google account π
Hafi mtu hapaπππMpaka muuane wivu sion nipo kwenye penzi langu moto sana
We fala Selikavu andaa zawadi miezi kadhaa ijayo ma mkali wangu atafanya baby shower ππEwaaa haya ndo mambo ssππ
Selikavu aibu yako πMwambie aibu ataona yeye mwaka huuπ
Email yangu ni hazina kubwa sana πTunauza na emailπ
Humu tu πHafi mtu hapa
Mapenzi yanetulemea πππ
Si umeitumia kule kwa mashabiki tuuπ€£π€£π€£Email yangu ni hazina kubwa sana π
Kwamba cocastic kajipenda mwenyeweHawa ni wale wazee wa I'd double double
πππ Mnipumzishe jaman nilee penzi langu
Wawira FC ππSi umeitumia kule kwa mashabiki tuuπ€£π€£π€£