Coca-Cola, Pepsi na Starbucks zasitisha biashara Urusi

Hawa Western guys are loosers n
Yaani Russia aache kujilinda kwa ajili ya pepsi na coca? vikwazo vingine bhana
US is dragging the EU in muds ,the sanctions will hurt deeply the EU. Gas jumped from 90$ /tone to 335$ /tone in 7 days. The European flight to China, Japan, South Korean must go through the North Pole to avoid Russia airspace adding 3-4hours more . Who will pay the extra cost?? Master card ,visa card , have all cancelled their transactions in Russia. The Chinese Union Pay cards will take over in Russia from the gap left behind by VIsa and Master Cards, The Chinese flights to Europe and far east will be taken over by Chinese Companies as they are allowed to fly over Russia. The Qatari minister of energy warned the EU that the Russian gas can't get any alternative. But kama kawaida viongozi huwa na connection ndogo na wananchi inabidi waunge mkono US anaewachezea akili. Let Russia discipline the EU and US na Waafrika waone kwamba tunaogopa tu bure lakin hawawezi kuendelea kutubabaisha tukiweza kujitambua na kujua thamani yetu na kuandaa future ya vizazi vyetu
 
Haya Mambo uliwahi kuzungumzia wakati wabantu wenzako wanapigwa Vita? Congo, somalia, Afrika ya kati, palestina n.k au na wewe ni qumer tu
 
Mleta mada umesahau kutaja McDonalds wameondoka Russia

Warusi sasa hivi wataishi kwa kula kande kama watani zangu wapare
 
Wengine humu wameacha kua objective wanaendeshwa na chuki na miemuko. Ukweli ni kua vikwazo vinaithiri Urusi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…