PostGE2025 Coaster Kibonde: Natamani sana Rais Samia aniteue kuwa Kiongozi katika Serikali yake

PostGE2025 Coaster Kibonde: Natamani sana Rais Samia aniteue kuwa Kiongozi katika Serikali yake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Bwn Kibonde alisema yeye akiwa Rais wa Tanzania atampa ajira Rais Samia, lakini baada ya kubwagwa kwenye nafasi hiyo amepeleka huruma sasa apewe uteuzi.

Jinsi Samia anavyopenda sifa basi anaweza kumpa uteuzi wa hata katibu tawala wa wilaya
===============
Aliyekua Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Uchaguzi mkuu wa 2025 kupitia Chama cha Makini, Ndug.Coaster Jimmy Kibonde Kupitia Kipindi cha The Bantu ya stbongotv ameeleza Matamanio yake endapo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia atampa / kumteua kuwa Kiongozi katika Serikali yake.

 
Back
Top Bottom