Eti ile rambirambi ya Hayati Patrick Mutesa Mafisango imeishia wapi?.....
Na vipi kuhusu Simba TV na uwanja wa kituruki?..........
Rage bana....................
Katika mechi alizocheza Dar mnajua ni ngapi Simba alikuwa mwenyeji?? Unajua timu zilizotumia uwanja wa taifa kama wa nyumbani?! Au ulitaka Yanga acheze Kagera, arudi dar halafu akacheze tena Mwz, nyie mnaolalamika hata vitu vya msingi si mngelalamika gharama. Kwanza Yanga mna madeni kibao, njoroge, papic, Simba, si mhindi atapata presha?!
Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopo
Teh teh.......
Mtani, ina maana kuendeleza kipaji cha mchezaji kuna tafsiri mpya siku hizi?......
Kumbe mnaendeleza hata wazee.........Mi nilijua Ochan kaendelezwa kwao Uganda kabla hajanunuliwa na Simba....
Mi nilivyokuelewa ulikuwa unazungumzia kukuza/kuendeleza vipaji vya wachezaji wadogo na kuwauza kwa bei mbaya...........Sasa huyo Ochan (mwenye umri wa miaka 27 kuelekea 28 sasa) sijui mlimuendeleza vipi ati....
Aisee..............................!!!!!!!!Angekuwa hajaendelezwa na ni mzee mazembe wangetoa hela? Na uliposema ni mchezaji wa Simba ulimaanisha nini, wakati sote tunajua wa Mazembe kwa msimu wa pili sasa?!
simba ikijatoa kipaji cha kucheza uefa skuiyo ntahamia simba
Teh teh teh bado Moro na sokoine Mby
Aisee..............................!!!!!!!!
Halafu rambirambi ya Mafisango hamjapeleka mpaka leo
Angekuwa hajaendelezwa na ni mzee mazembe wangetoa hela? Na uliposema ni mchezaji wa Simba ulimaanisha nini, wakati sote tunajua wa Mazembe kwa msimu wa pili sasa?!
mpira umemeisha ondokeni kwenye thread basi.. nendeni kuna thread ya yanga hamieni kule
Hivi bado wanamlilia huyu mtu kama ni mchezaji wao wakati walishamuuza?!!simba bana haweshi viroja,hapo tv na uwanja uliozungukwa na maduka na hotel bado,muda c mrefu mtamsikia aden akiitisha press conference kuelezea "mikakati" ya ujenzi wa uwanja,hii mara nyingi hutokea simba ikifungwa ili kuwatliza mashabiki tamthilia ya uwanja wa kisasa huendelea
Hivi nani aliipangia simba mechi nane mfululizo dar!!!
Wazee wa dhulumat, madai ya ukweli yanaenda hadi fifa mbona ya Basena hatujayasikia? Tunajua Yanga Imeamuriwa na fifa iwalipe Njoroge na Papic, na Muhindi atajuta kuijua Yanga mwaka huuMoses Basena naye ana madai yake, sasa kujisifu kuko wapi. Mzee Siang'a alikuwa mgonjwa taaban Simba hawakujali kama kawa, sijui kama yuko hai huenda alikufa. Mwenye data tusaidie.
Wazee wa dhulumat, madai ya ukweli yanaenda hadi fifa mbona ya Basena hatujayasikia? Tunajua Yanga Imeamuriwa na fifa iwalipe Njoroge na Papic, na Muhindi atajuta kuijua Yanga mwaka huu
Mimi ninavyojua rambi rambi huishia msibani na msiba huisha pale marehemu anapozikwa, marehemu alishazikwa obvious msiba uliisha pale alipozikwa na mambo ya rambi rambi yaliisha vile vile.Eti ile rambirambi ya Hayati Patrick Mutesa Mafisango imeishia wapi?.....
Na vipi kuhusu Simba TV na uwanja wa kituruki?..........
Rage bana....................
Hapo sijaelewa unataka kusema nini, maana mechi hizo nne mmeshinda moja tu tena dhidi ya Toto na yenyewe baada ya matajiri wenu wote kuhamia Mwanza.Yaani ni full kichekesho aisee....Sijui ni nani hasa huwa anapanga ratiba........Mechi ya kwanza nje ya Dar wameanza kwa sare licha ya Nsa Job kupewa kadi isiyo na kichwa wala migu......
Hii ndio mechi ya kwanza kucheza nje ya Dar......Mechi nyingine zote 6 wamechezea uwanja wa Taifa ilhali Yanga wao wamecheza mechi 4 nje ya Dar(Mbeya,Morogoro,Kagera na Mwanza) na 3 wamecheza Dar........