Coastal Union 0-2 Yanga SC | Mkwakwani-Tanga | Ligi kuu Tanzania Bara

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Show za NPL zimesharudi na zinaendelea pale Tulipokuwa Tumeishia

Leo katika NBC Premier League Saa 10:00 jioni vinara Yanga SC watakuwa dimba la Mkwakwani kumenyana na Coastal Union. Yanga ataingia katika mchezo huu akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mechi ya mwisho katika uwanja huu.

COASTAL UNION wamekuwa Katika Wakati Mzuri na Kocha Wao mwenye Morali ya hali Ya Juu. Amekuwa Kocha Bora wa Mwezi uliopita.

Je leo atalipa kisasi ama kichapo kitaendelea?

Mtanange huu utaruka LIVE Hapa Hapa JF.

========

00' Mpira umeanza uwanja wa Mkwakwani

30' Yanga inapiga kona pacha bila mafanikio.

40' ⚽Fistoo Kalala Mayele, anaiandikia Yanga bao la kuongoza kwa mpira wa kichwa akipata krosi safi kutoka kwa Djuma Shaaban

45+2' Mpira mapumziko

45' Mpira umerejea kutoka mapumziko

85' Mayele anakwenda bench nafasi yake inachukuliwa na Makambo

89' ⚽Saidooo anamaliza mchezo baada ya kasi kadhaa ndani ya 18 na kuachia mkwaju unaoingia golini.

90+3' Sopu anapiga free kick matata na kugonga mwamba

95' Mpira umekwisha uwanja wa Mkwakwani
 
Show za NPL zimesharudi na Zinaendelea pale Tulipokuwa Tumeishia

Leo katika NBC Premier League Saa 10:00 jioni vinara Yanga SC watakuwa dimba la Mkwakwani kumenyana na Coastal Union. Yanga ataingia katika mchezo huu akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mechi ya mwisho katika uwanja huu.

COASTAL UNION wamekuwa Katika Wakati Mzuri na Kocha Wao mwenye Morali ya hali Ya Juu. Amekuwa Kocha Bora wa Mwezi uliopita.

Je leo atalipa kisasi ama kichapo
kitaendelea?

Mtanange huu utaruka LIVE Hapa Hapa JF.
NimeshaSubscribe, tupo pamoja sana
 
Leo ndo mtajua hamjui.
2828547_IMG-20210703-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom