Habari wana JF. Naulizia kama COASCO na Wizara ya ushirika wameita watu interview? COASCO ilikuwa assistants auditors na wizara ilikuwa maafisa ushirika daraja la II. Msaada please!
haamanishi za muccobs
kuna nafas za utumishi walitangaza chini ya wizara ya kilimo na ushirika
maafisa ushirika grade 11/cooperative officers grade 11
wametoa shortlist??
haamanishi za muccobs
kuna nafas za utumishi walitangaza chini ya wizara ya kilimo na ushirika
maafisa ushirika grade 11/cooperative officers grade 11
wametoa shortlist??
Thax kwa kuelezea NKADABWI. Sina taarifa kwa hizo nafasi. Na najua hata nikiitwa interview satahudhuria kwa sababu serikali haotaki kuajiri tuliotoka chuo majuzi. Wanaajili wenye vyeti tu.