CNN’s Anthony Bourdain dead

The trouble is, what you see as jargon, to me is everyday language.

This just reinforces my earlier point.
 
Ni umaskini tu kaka.Sio deperession.They cant afford other recreational activities.Wanachoweza kufanya ni pombe na ngono.

Umaskini hauwezi kusababisha sonona?

And how do you know for a fact it’s not depression?
 
Shetani ni mbaya sana Yesu tenda miujiza.
Depression ni mbaya sana mostly of them they will like you to die indirectly.
 
hahahhaa we mkuu bwana unafurahisha.
 
Naona leo umeweka faida ya MUNGU .

In context, with a nuanced juxtaposition.

Imani ya Mungu ina faida zake, hata kama ni kwa "placebo effect", hilo halimaanishi Mungu yupo.

Unaweza kula kidonge kisicho na dawa, ukaamini kidonge kina dawa, imani yako kwamba kidonge kina dawa ikakuepusha na msongo wa mawazo kuhusu ugonjwa na baada ya muda ukapona kabisa.

Hilo halimaanishi kidonge kina dawa.
 
Kitu ambacho hakipo mkuu hakina effect tena we mwenyewe si mtaalamu wa physics? hilo halina shaka sasa Newton anasemaje zile law zake za motion?


Ili upone lazima kuwe kuna nguvu ya kukuponyesha na inatoka somewhere.
 
Kitu ambacho hakipo mkuu hakina effect tena we mwenyewe si mtaalamu wa physics? hilo halina shaka sasa Newton anasemaje zile law zake za motion?
Google "placebo effect".

pla·ce·bo ef·fect

pləˈsēbō əˈfekt,ēˈfekt/

noun

a beneficial effect, produced by a placebo drug or treatment, that cannot be attributed to the properties of the placebo itself, and must therefore be due to the patient's belief in that treatment.
 
Sawa mkuu basi tu conclude placebo effect na na MUNGU zinafanya kazi.
 
Sawa mkuu basi tu conclude placebo effect na na MUNGU zinafanya kazi.
Mungu ni placebo. Hayupo. Dhana ya kuwepo kwake ni dawa ya uongo.

Ukimuamini, unaweza kupona kwa imani inayotengeneza placebo effect.

Hivyo, imani ya Mungu inaweza kuwa kitu kizuri hata kama Mungu hayupo. Katika namna fulani.

 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…