CNN Poll: Trump anaongoza

Siku zote kwanza wamarekani hawajawahi kuamini juu ya mwanamke
Halafu kingine wanataka mtu mbabe mbabe kwa sasa maana hata urusi kwa sasa ina rais bora kuliko marekani
Kingine namtakia ushindi trump nataka kuona akiwasili korea ya kazkazini au akimwalika rais wa korea kazkazini nchi yenye ushirika na china
 
Unaweza kutuwekea sasa mfano hai ni nani na ni lini alishinda "popular vote" na kwenye uchaguzi akashinda.

Hapo ndio utaona kuwa mke mwenza wa monica Lewinsky anapiga ramli, na wapiga nyanga za ramli wewe ni miongoni mwao.
TRUMP, TRUMP, TRUMP.
 


Texas inawafanya GOP wa work extra, kuna sehemu Hillary ana tie na Trump...Texas?!....Woi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…