Cnn outfront : Reporting live from kigali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cnn outfront : Reporting live from kigali

Discussion in 'International Forum' started by Kwame Nkrumah, Jul 20, 2012.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
 2. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Erin anashangaa Kigali ilivyo safi,unlike many African cities.
   
 3. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Watch Kagame live kesho.
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  anashtakiwa kusaidia waasi nchini Congo (the M23 troops)
  Anahojiwa kuhusu mashtaka, ndio heshima mnayo taka?
   
 5. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mhh? na huyu mgeni kweli hana haya, Waswahili wanasema ukijiheshimu, utaheshimika. Jana Lubanga kafungwa miaka 8, na uwezekano wa kufunguliwa mapema nadhani makosa ya Lubanga yanajulikana (Majaji uchwara walidai kua ameonyesha tabia nzuri alivokua ndani) na tunajua hayo maneno yanamaanisha nini. Nkunda amepoza tulii, Rwanda. Haya, leo kuna mashtaka ya kusaidia waasi. Na hizi sio siri hasa kwa watu wa East Africa. Hawa wageni wao hawana aibu kabisa. Huyu Clinton asipoangalia heshima yake itaporomoka duniani. Wanaweza fanya propaganda za cn na kadhalika, lakini la muhimu kudumisha amani, hili ndilo litakaloleta maendeleo ya kudumu Rwanda. Kwanza hata wakiangalia nadhani watakuta Rwanda ina madini tele, zaidi ya dhahabu. Just think, Nchi zilizozunguka Rwanda Zote zina madini, itakuaje yasiwepo Rwanda. Kwahiyo Rwanda ina uwezo wa kujitegemea, Kwanza katika nchi la Muhum ni akili za watu kitu ambacho kinapatikana. Nafikiri Kagame ana uwezo wa ku advocate stability in the EA neighborhood.

  Bila stability ya eastern congo economy ya east africa, haito shamiri kisawasawa. Nafikiri lengo ni kuinua nchi zote na wala sio kua na nchi moja au mbili zinazo onekana kua na maendeleo bandia.
   
Loading...