PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,143
Reaction score
56,407
Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo.

Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya uandishi wa habari.

Kina Ayo, Mahela macho ni kwenye vibahasha na kuhudhuria matamsha ya misosi na ya taarabu za Kizimkazi na kuripoti matukio ya harusi.

Shame you all Tanzania Media, journalists, na mabaraza yenu yote, jukwaa la wahariri TEF shame on you ikiwemo wizara ya habari, jifunzeni hata kwa Media za majirani zenu Kenya.

Pia soma > CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
 
Media tanzania imekufa, there is no media
 
KWAKWELI!
... a failed state, Kenya, is very busy trying to drag Tanzania into the hell hole they created for themselves knowingly!
Kenyan leaders should redistribute land to their poor citizens first, instead of trying to shift the attention of the hungry and angry masses to TZ!
🤣 😅
 
unaweza kufungua media yako pia ukapost 😂
 
Hayo maswala hawafanyi viongozi wa kenya bibie ni wananchi wa kenya wanaokemea uhalifu wa binadamu you damn concubine kamhudumie mumeo achana nasi Wakenya
 
Poa poa turudi kwenye mada husika.
 
Ni kwa sababu ya nature ya wabongo fuatilia utofauti wa ufuatiliaji kati media za maana na za hovyo utaona za hovyo Zina wafuasi wengi ndio maana watu wanawaletea mambo ya hovyo ili wao wapige maokoto
Nchi Inamatatizo Lukuki Media Inatumia Masaa Zaid Ya 8 Kwasiku Kuzungumzia Michezo

Media Matangazo Yao Mengi Michezo Ya Kubahatisha

Uweledi Utatoka Wap Hapo Bongo Hmn Media
Ya
 
We omba watalii waje usife njaa maana wabongo haweaz fit dau lako we mtu mkndu mbovu unauza laki mbili kwa bao unakaakili kweli wewe round hii utauza 10k
mtoto wa singo maza kaza msuli uuze course bila hivo kila sku utakua unalia njaa 😂
 
Nchi Inamatatizo Lukuki Media Inatumia Masaa Zaid Ya 8 Kwasiku Kuzungumzia Michezo

Media Matangazo Yao Mengi Michezo Ya Kubahatisha

Uweledi Utatoka Wap Hapo Bongo Hmn Media
Kama mtu anatekwa hadharani na wananchi wanaangalia na wengine kupita kando unataka wahariri wafanyeje kwa gharama ya nani? Though wao ndio wametufikisha hapa kwa uchawa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…