cmwelewi manzi yangu

McDonald2

New Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
2
Reaction score
1
habari zenyu jamani wana jf
naombeni msaada kwasababu manzi yangu simwelewi, hivi juzi alikuwa anaumwa na nilisikia habari nikaenda mpaka kwenye hosptl aliyo kuwa cha ajabu, naongea naye kuhusu kilicho msibu lakini akawa kama hataki kuonge na mm akawa aminipiga mgongo, chakusikitisha tena badala ya kuongea na mm akchukua cm yake akaandika sms na kunipa nisome, nanukuu..... ``nomba uondoke kwasababu kaka yangu anakuja atanigombeza akinikuta na ww`` nilishikwa na hasira ila nilikaa kwa mda kupooza hasira coz naweza nikapata hata ajali njiani, nilkaa kwa mda wa 30 nikaona naweza ondoka, nilimwaga but sikufurahiwa na kitendo cha kunifukuza, niliondoka na kufika home salama cha kushangaza leo kanipigia cm anniomba hela za kununua kitanda kwani akipona anaenda chuo afu kitanda hana, nishaurini jamani nimpe au nimteme, si mara ya kwanza kumsaidia kwani hujaga na mashida zake na huwaga namsaidiaga, na wala simdai.......
 
Mkuu, kwani kwao ndio umeshajitambulisha au bado? Kwa maana vilevile ingesaidia kwa watu wanaotoa ushauri kutoa ushauri mzuri zaidi.
 
ukiona manyoya ujue kaliwa huyoooo..... jamani soma alama za nyakati kaka...
we unafikiri alikuwa kakaake mzazi au? aliogopa kuyagonganisha matreni ya Mwakyembe ohoooooooo......
source; mi mwenyewe. ila sijasema anakucheat mwaya.
 
Piga chini fasta ana mwingine wewe kakuweka ki_ATM
 
Mwambie amuombe huyo kaka yake amnunulie kitanda.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwambie akutambulishe kwanza kwa huyo kaka yake then ndio umnunulie kitanda
 
The cost of something is what you give up to get it. so mwenzako anayependwa zaidi alikuwa anakuja akaamua kufanya trade-off
 
labda malaria ilipanda kichwani ndio maana akakuambia uondoke
 
Huyo manzi ni mtapeli bia anaboo
wachanaga nae ,huyo anakufanya atm wala hakupendi
mwambiege amwambie brother wake amnunulie hiyo bed
 
Kwa kifupi wewe ni wa matumizi,tafakari chukua hatua
 
Pole sana ndugu...najua unachofeel, issue kama hizi huwa zinauma sana! kuna dalili kwamba huyu mtu hakupendi...tena mambo kama haya ndio moja ya sehemu ya kutambua mahusiano yenu! muulize akwambie ukweli
 
Mpe kama unataka kumpa ila kama unafanya investment mh loading...
 
Kama ni kawaida yako kumpa yanini leo usimpe?

Mpe kila wakati anapohitaji.

Kukataa kuongea na wewe isiwe kigezo chakumnyima .

Hahahaaaaaaa!!!!! Mapenzi ya vijana raha sana.
 
Naona unajilazimisha kutomuelewa! Stuka kuna mwenzio ana kusaidia kulima hilo shamba! Hakuna mapenzi hapo alaf ameshajua unampenda sana.
 
Unalazimisha mapenzi hapo mkuu ,nadhani unajipendekeza sana Ndo mana,na nahsi siku aliyekutoa wakati anaumwa wa Moyo wake alikuwa anakuja!Sema una advantage umemshinda kipesa huyo anayempenda kwa dhati so wewe ni ni ni....ATM aka money dispenser na nina wasiwas unazotoa hadi kidume kingine kinagaiwa na demu wake(wako)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wizi mtupu! wewe unaiba vya watu ndo maana ukaambiwa kaka mtu angekukuta, shaba ingekuwa halali yako. Manzi wako naye anakuibia tu, kwani shida iko wap wewe kwenda kumwangalia hospitali? Hiyo hofu yake ya kaka yake ni ya kweli? Au alikuwa akiepusha kugonganisha magari? La muhimu ni wewe kuamua kuondoka, huenda uliepusha zahma nzito. Bado lakini una nafasi ya kujua nini hasa lilikuwa lengo lake! Kisha naona bado pia UTOTO UNASUMBUA!
 
ucpokua makuni utakumbuka muda umekwenda.
chukua hamsi zako na find life kimpango wako kaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…