keepthefaithalive
Member
- Aug 4, 2014
- 44
- 15
Habarini wanajamvi...Kuna kazi zilitangazwa tangu mwezi wa 4 au wa 5 mwaka jana 2014 na Capital Markets Securities Authority CMSA kwa kada mbalimbali kama Financial Analysts II..Planning Officers II..Legal Officers II na nyinginezo!
Sasa baada ya kimya cha muda mrefu hawa jamaa wameita usaili na utafanyika Law School of Tanzania nyuma ya mawasiliano towers tarehe 27 mwezi huu mida tofauti tofauti ila kuanzia saa 2 asubuhi!Majina yapo kwenye The Guardian ya leo!!
NAWASILISHA!!