teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Napenda kujua ni kitu gani kinachosababisha clutch plate za gia box auto ziungue, kwani jambo hili limenitokea mara mbili sasa nashindwa kujua nakosea wapi mwenye ujuzi anisaidie
unatumia gari gani?Napenda kujua ni kitu gani kinachosababisha clutch plate za gia box auto ziungue, kwani jambo hili limenitokea mara mbili sasa nashindwa kujua nakosea wapi mwenye ujuzi anisaidie
unatumia gari gani?