Club 71 and Castle Lounge Tegeta Dar es salaam

Club 71 and Castle Lounge Tegeta Dar es salaam

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Chimbo zuri maeneo ya Tegeta. Panafaa sana kujumuika siku za weeked
IMG-20170820-WA0001.jpg
IMG-20170820-WA0002.jpg
IMG-20170820-WA0003.jpg
IMG-20170820-WA0005.jpg
IMG-20170820-WA0006.jpg
IMG-20170820-WA0007.jpg
IMG-20170820-WA0008.jpg
IMG-20170820-WA0009.jpg
IMG-20170820-WA0010.jpg
IMG-20170820-WA0011.jpg
IMG-20170820-WA0012.jpg
IMG-20170820-WA0013.jpg
IMG-20170820-WA0014.jpg
IMG-20170820-WA0015.jpg
IMG-20170820-WA0016.jpg
IMG-20170820-WA0017.jpg
IMG-20170820-WA0018.jpg
IMG-20170820-WA0019.jpg
IMG-20170820-WA0020.jpg
IMG-20170820-WA0021.jpg
 
Hayo ndio maneno sasa,ngoja nijiandae nisogee pande hizo
Club inabamba kuanzia saa tano usiku. Ijumaa magwangala yapo mengi mno. Maana yanapitishwa bure getini.

Lounge inabamba kuanzia saa 12. Kule madini yapo ya kiwango cha juu, mengi yanakuwa yamechenjuliwa. Si unajua pure gold ikiwekwa sokoni bei yake juu kwa gram!!
 
asalaale! napitaga tu hapo aisee ! dah nataman dunia ijipindue namis sana hiz moments !siku najipindua tu namie hapo ! lol
 
Club inabamba kuanzia saa tano usiku. Ijumaa magwangala yapo mengi mno. Maana yanapitishwa bure getini.

Lounge inabamba kuanzia saa 12. Kule madini yapo ya kiwango cha juu, mengi yanakuwa yamechenjuliwa. Si unajua pure gold ikiwekwa sokoni bei yake juu kwa gram!!
Asante kwa taarifa mkuu.Niko njiani nakuja kwa kasi sana pande hizo.
 
Back
Top Bottom