Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.

Kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri Babla, Mbwiga na PJ ndo maoni ya wananchi????

Jambi leo??! Ni radio, tv au gazeti?
Na watangazaji wenyewe kina Mbwiga!We hujui hako ka radio ka CCM?
wewe na hao power breakfast mmepokea bahasha toka lumumba. UKAWA waende kujadili rasimu ya ccm?! tume ya Jaji Warioba iliwasilisha rasimu ambayo ccm hawaitaki na wamefanya uhuni kwa kutumia wingi wao kuihujumu. Ukawa Ni wazalendo kama Jaji Warioba na team take.