jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko
Mkuu leo saa hizi ndio unavuta shuka wakati Jogoo limeshawika!jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko
jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko
Yaan ktk siku ambayo nilichukia ni siku ile ya ugomvi wa XXL,yaan Hawa jamaa wanatuona sie watoto ee!! Km ilikua fake Mbn kipindi kiliishia pale pale than kilichofuata hata kwenye Jahazi waliomba radhi kilicho tokea Mbn wanatuona sote wajinga.....
88.5? Sema Mawingu radio ( kama kwa mafumbo) kwani hiyo hupatikana kwa frequency tofauti katika mikoa tofauti. Na kwa kuwa JF ni nchi nzima, wengine hiyo 88.5 inasikika redio nyingine kabisa kutegemea na mkoa, hivyo haipaswi kugeneralise kuwa 88.5 ndo hawa mawingu fm,