TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Binafsi ni mpenzi sana wa clouds tv hasa clouds 360 asubuhi,kwa kawaida muda wa asubuhi watu wanataka kujuzwa mambo mbalimbali yaliyotokea duniani kwa usiku mzima,kupata habari kwenye magazeti nk,
Ninyi muda huo ndio mmegeuza muda wa burudani, mnapiga sana muziki kwa kwenda mbele,habari moja muziki, watu wanataka kujua yaliyojiri ili waende kutafuta mkate wa kila siku,mji up date at least kati ya saa kumi na mbili asubuhi na saa moja na nusu kabla watu hawajatawanyika mtumwagie ma news na magazeti.
Muziki utaendelea baada ya hapo kwa walio nyumbani.
Nawasilisha...!