Clouds TV ndani AZAM TV Free

Clouds TV ndani AZAM TV Free

Kichwa Cha jieleza Sasa

UTV

TBC

Safari Channel

Channel Ten

na Sasa Ni

ClOUDS TV

Mungu akupe nn????




View attachment 1175190
Kwa maana hazitakatwa kivuruzi kikiisha? Halafu waambie kabisa,tuwe tunalipia kadiri tunavyotumia kama umeme. Sio nimenunua leo kivuruzi,nikasafiri Tv haijatumika nikirudi baada ya mwezi wanataka tena nilipie
 
umelipia kifurushi cha bei gan mkuu mbona kwangu inagoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom