Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Imejaa ushabiki wa
kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa
jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye
uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM
litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya
chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?
Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha
siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa
yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994.
Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
kusoma taarifa zinazohusu ccm kwa mbwembwe wewe ndicho kinachokukera!he! he! he!Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?
Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
Mkuu hilo unaona dogo?ufahamu wako bado upo?kusoma taarifa zinazohusu ccm kwa mbwembwe wewe ndicho kinachokukera!he! he! he!
Watu wengine bwana..wewe kama unaipenda CDM si unaipenda tu!
Shida iko wapi na Clouds?..au nyie ndo wenye akili za kushikiwa?
ulitaka wawe wanasoma kwa huzuni kubwa?hebu kuwa fair minded bwana!acha ushabiki wa hivyoMkuu hilo unaona dogo?ufahamu wako bado upo?
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?
Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?
Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
teh teh..watu wanaangalia matumbo yao kama ww vile unavyofikiria CDM ikiingia madarakan utapewa hta ka ukuu cha wilaya..teh teh
Hadi sasa Mkuu,mimi sina chama chochote.Nangoja kwanza Katiba mpya