Clouds nimewanyooshea mikonoo!

Bora tu niangalie mpira sijaelewa kitu
 
hawa ndio wale kwa Necta walikuwa wanajibu Nusu wanaacha wanahamia swali jengine
 
Show inayoendelea sasa hivi,luh!Ni ubunifu mkuuubwa!Huyu jamaa Koyo ni hatari mno!!
Kwa mara ya kwanza,nawapongeza sana!
Ila akiingia wcb tu,kwisha habari yake!
Dah, mkuu,mbona kichwa cha habari ba habari havina uhusiano? Au ndio promo ya bure ambayo hulipii?

Vv
 
Ndo nyie hata kupiga goli moja shida tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…