Clouds nimewanyooshea mikonoo!

ni upuuzi gani na clouds yako mmeleta hapa? mbna habari nusunusu
 
Siku nyingine weka bandiko litakalofanya kila mtu aelewe hata kama katoka kuamka sio unaandika utadhani wote tunamjua huyo Koyo
 
 
Uzi kama huu ulitakiwa ufutwe,unajaza server tu
 
haka kajama kameitype hii habari kakiwa chooni au ? mbona iko kiharaka ivi
 
Show inayoendelea sasa hivi,luh!Ni ubunifu mkuuubwa!Huyu jamaa Koyo ni hatari mno!!
Kwa mara ya kwanza,nawapongeza sana!
Ila akiingia wcb tu,kwisha habari yake!
Habari fupi fupi kama hizi uwe unamuhadithia mkeo chumbani kwako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…