Clouds mnaoufanya ni utoto

Clouds mnaoufanya ni utoto

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Mbona nyie ni redio kubwa tu??? Why mnafanya vitendo vya kitoto? Ni kitu gan mnachoogopa kutoka kwa EFM??

Watangazaji mnawaacha wenyewe tena wengine mnawadharilisha wakat mnawaacha ila wakienda kwa wenzenu na wakafanya vizur mnawafata na kumwaga hela kuwarudisha? Mlio nao hawawatoshi?

Haitoshi jamaa wakiandaa event na nyie mnaandaa the same day!! Shida nini? Mbona mna nidham ya uoga?

Mbona EFM ni redio ndogo bado mnachoogopa kutoka kwao ni kipi? Au kwa sababu inaendeshwa na kijana kama nyie mnajua ananjaa ya mafanikio hivyo atawasumbua tofaut na Mengi aliyejizeekea??

Halaf kabla y kufanya maamuzi muwe mnafikiria!! Mlidhan pengo la PJ kuna mtu ataliziba asubuh? mmechemka na kurudia matapishi idiot!!

Niwashaur tu hata Fredwaa mtoen hapo na mmpe kipindi chake atakachoendesha anavyotaka ili ule ubora wake akiwa RFA uonekane tofaut na hapo mnamfanya awe ka taahira flan kuchekacheka na kuongea pumba

Acheni chuki kwa EFM
 
kwa kweli fredwaa alikuwa mtangazaji kwelikweli alipokuwa rfa. sasa hivi amekuwa mzigo kwa ile nafasi. mpeni sehemu ingine arudie ubora wake...
ile nafasi amekuwa kama 'golikipa'...!!
 
Kunatofauti kubwa sana kati ya ujinga na upumbavu
 
kwa kweli fredwaa alikuwa mtangazaji kwelikweli alipokuwa rfa. sasa hivi amekuwa mzigo kwa ile nafasi. mpeni sehemu ingine arudie ubora wake...
ile nafasi amekuwa kama 'golikipa'...!!
.... kama pogba..., hata assist za shida.

labda kama wanategemea kuongeza vipindi ila wa kumtoa kipanya pale sijamuona... jamaa ni mwerevu sana
 
Huyo PJ nae kama mwanamke,mwanaume unakosaje msimamo?binadamu wa ukweli ni yule ambaye kwanza analinda heshima yake na jamii yake,huyu boya kashindwa kujilindia heshima,nimemdharau sana,wanaume hatuko hivyo,kesho akitimuliwa tena kwa kashfa ileile ya kitwang ataenda wapi?
 
Back
Top Bottom