kwa sababu hauchezeki kidiscodisco haya na wewe nijibu nilicho ulizaumeshawahi kuusikia unapigwa disco?
kwani mkuu umesema unapigwa disko au cloudsumeshawahi kuusikia unapigwa disco?
hahahakwani mkuu umesema unapigwa disko au clouds
ILA KWELI HAUCHEZEKIkwa sababu hauchezeki kidiscodisco haya na wewe nijibu nilicho uliza
Umenikumbusha mbali...zamani kuonekana na bendera ya taifa au rangi ilikua issue...sasa anagalia taifa kama USA Kulivyo na "ownership" ya bendera kwa wananchi mpaki imekua international brand hata waisha magari msimbazi wanapepea bendera ya marekani na hawaulizwi.imeandikwa wapi kwenye katiba kuwa wimbo huo utapigwa kwennye matukio maalumu tu?
eeh!!!Juz nilikuwepo katika mnanda iyo kitu ilipigwa watu tukaselebuka tuuuu
Upo kama mimi aisee.. nikiusikia kwa TV au radio lazima niikumbuke ile siku basi nakaa mkao kupata news zinazofanana na ileh
aukatazwi kupigwa ila sio upigwe kama kifungua kinywa. waangalie ni wapi panafaa kuutumia na sio kila siku. me nikiusikia huu nakumbuka ilee hotuba ya MZEE MKAPA alivolistua Taifa kwa taarifa yake...
umeonaeeee... yaani naona kama cloudsfm wamekurupuka. huu wimbo una miaka zaidi ya 55 sijawahi kuusikia ukipigwa kama kibwagizo.Upo kama mimi aisee.. nikiusikia kwa TV au radio lazima niikumbuke ile siku basi nakaa mkao kupata news zinazofanana na ile
umeonaeeee... yaani naona kama cloudsfm wamekurupuka. huu wimbo una miaka zaidi ya 55 sijawahi kuusikia ukipigwa kama kibwagizo.
wameshindwa kuwa wabunifu kama RTD enzi zake ikifika taarifa ya habari walikuwa wanatupigia zile ngoma za msukuma NG'WINAMILA
Redio gani sasa ipo juu kwa sasa mkuu??Clouds imeisha kwa Sasa n mfano tu waredio