kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Pongezi za dhati kabisa ziwafikie Clouds media popote walipo kwa kazi nzuri mnayo fanya mpaka kuwa Super brands.
Mh Kusaga na brother wa mabrother Tanzania Mr Ruge, na wafanyakazi wote wote wa clouds kama B 12, Baba John na wengine wote bila kumsahau mzee machachari Kibonde. Kiukweli nawakubali sana wote kwani mnavipaji vya hali ya juu.
Mungu awape maisha marefu ili Tanzania na East Africa tuendelee kuenjoy Elimu na burudani nzuri kutoka kwenye Media nzuri yenye mvuto wa kipekee.
Binafsi nina ombi moja kwenu, ombi lililo moyoni kwa muda mrefu. Nimevumilia nimeshindwa kwasababu nyinyi ndio mlituingiza Watanzania kwenye Dunia ya burudani na kiukweli tunafurah sana sana.
Nyinyi ni kama mababa kwa wasanii wetu, na bahati mbaya wengi hawajitambui kabisa. Na pia isitoshe nyie ndio mliwatoa uko mlipo waona mkawaosha wakaosheka na mwisho masikio yetu yakapata burudani nzuri ya aina yake.
Sisemi kwa ubaya ila Watanzania bado tunaitaji sauti ya binti Rubby.. binti ambae bila nyinyi tusingemjua. Tafadhali sana msameheni hajui atendalo, ni binti mdogo sana na hajui nini anataka. Naomba msichoke maana nyinyi ni kama baba kwake. Na kazi kubwa kwa baba ni kusamehe mtoto wake.
Nirudi kwa dada Rubby tafadhali rudi uombe msamaha kwa wazazi wako, bila clouds ingechukua muda sana Watanzania kukuelewa. Na watu wakushikao ukiwa upo chini ni wa kuheshimu katika Dunia hii. Kuwa na nidhamu itakufikisha pale kwenye ndoto yako tafadhali dada yangu.
Kama unataka uwezo zaidi ya kile unacholipwa jiongoze maana jina lako ni brand kubwa ukiwa Clouds. Tafuta meneja wa tofauti na meneja wa music kisha akuchezeshe vitu mbali mbali hakika utafanikiwa na utaona mafanikio ya Clouds wanayo kupa ikiwemo kukusaport ni kitu kikubwa zaidi kile unacho kitaka.
Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki the people station. One love
Ni muda muafaka Dada Rubby kipindi iki cha valentine kuomba msamaha na kuachia ngoma kali.