hata kama walifanya kazi, ile pesa haikuwa kwenye budget ya serikali hivo basi warudishe alafu wamnai kigwa kwa sababu hakuna mkataba baina ya serikali na cloudsWalishafanya kazi ni vp warudishe pesa? Njia bora ni wataje kiasia halali walicholipwa
ujanja umefanyika kati ya upande mmoja na upande mwengine, kisha dili likafanyika!!Walishafanya kazi ni vp warudishe pesa? Njia bora ni wataje kiasia halali walicholipwa
Ulitegemea wasemaje?Wamesema wana risiti na walilipa TRA.. ingekuwa wewe ungerudisha pesa ulizofanyia mtu kazi!!!!
Kama unataka wakuonyeshe waombe wafanye hivyo..
Ndo maana mm sihangaiki na hiyo ripoti..ukipata chocho jilimbikizie mwenyewe hii nchi haiji kuwa bora hata siku 1Ripoti ya CAG ni useless. Hamna mtu hata mmoja atalipa au kuwajibishwa, in a month tutasahau atazungumziwa tena mwakani akija na ripoti nyingine.
Kama Clouds wanataka kushindana na Ripoti ya CAG basi ngoja tusubiri, ila pia TAKUKURU NA FIU wachunguze hizi pesa za watanzania ambazo zimekwapuliwa kijanja.Wamesema wana risiti na walilipa TRA.. ingekuwa wewe ungerudisha pesa ulizofanyia mtu kazi!!!!
Kama unataka wakuonyeshe waombe wafanye hivyo..
Ukiwa na wajinga kama huyu hakika nchi haiwezi kwenda.....Mkuu alikuwa anapenda kuwapigia simu anajifanya anafatilia vipindi vyao...kumbe alikuwa anauliza 'mmeipata?'
Exactly.Ndo laana mm sihangaiki na hiyo ripoti..ukipata chocho jilimbikizie mwenyewe hii nchi haiji kuwa bora hata siku 1
Labda Serikali pia irudishe kaziWalishafanya kazi ni vp warudishe pesa? Njia bora ni wataje kiasia halali walicholipwa
hawa clouds wanazidi kujipalia makaa.Clouds wameshajisafisha wanasema wao wanadocument na walishaziwasilisha mahala sahihi kabisa kwa iyo wao wapo safe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]