Huyo si ndio YULEEEEEE!Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.
Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anakuja kuliko yeyote.
AhsanteHa ha ha Kapiga....wali nazi.
Ha ha ha Kapiga....wali nazi.
Acha kupangia watu kama vile mishahara unatoa wewe,kama hupendi fungulia Ting tu utapata utakachoHabari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.
Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anakuja kuliko yeyote.
Sisi wengina anatufurahisha sana hivyo wewe mwenzetu si uangalie star tv /itv/azam2/tbc tatizo ni nini????Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.
Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anakuja kuliko yeyote.
Pale mtangazaji ni Godfrey Kusolwa ni wale wadada, ingawa hawajui kuchague Habari ipi ianze na ipi iwe ya mwisho.
Kingine huyo Kapiga Mara nyingi anaonyesha upande au side kwa Habari zenye pande mbili
Unamkubali kwenye nn hasa?Maana ana vipaji vingi huyo ndugu.Kapiga namkubali sana
Wewe usichotaka ni msomaji au habari yenyewe, nakushauri acha kuangalia au anzisha tv yako uwe unabadilisha watangazaji wa habari.Habari!