Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.
Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anakuja kuliko yeyote.
Pale mtangazaji ni Godfrey Kusolwa ni wale wadada, ingawa hawajui kuchague Habari ipi ianze na ipi iwe ya mwisho.
Kingine huyo Kapiga Mara nyingi anaonyesha upande au side kwa Habari zenye pande mbili