Mzunde
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 141
- 104
Ka
Kakurupuka huyu nae ukute ananjaa hajala
Umeelewa kinacholalamikiwa au mkurupuko tu???
Kakurupuka huyu nae ukute ananjaa hajala
Umeelewa kinacholalamikiwa au mkurupuko tu???
Na wana vipindi 7 tu kwa siku.....full matangazo siku nzima, yaani afadhali hata PB sikipendi kipindi cha sijui xxl, huwa sielewi wanaongea nini zaidi ya makelele, kipindi chao bora ni sports extra tu....
Uko mkoa ganiwanazingua kweli kweli, naomben freq za E FM
Mbona mahojiano yalikuwa mazuri tu, au mnataka mnachofikiria nyie ndicho kitokeee. Kikubwa yule ni Mbunge wa CCM na wengi wetu humu ni wale tusiopenda mazuri kwa wenzetu wa ccm so Kitendo cha Mhe. Mbunge kuonekana umezushiwa ile stori kwetu ni KERO, Hajahojiwa vizuri, Redio iliyomhoji ni Ovyo nk. Tuache Chuki, tupendane Daima na Kamwe Adui yako Usimwombee Njaa. Asbh njema Watanzania wenzangu.
Maui ulitaka kumaanisha nini uliposema *"journalism professional" ??NDO MAtatizo hayo..luck of speciallization in journalism professinal....