mkunga4546
Member
- Sep 17, 2014
- 44
- 21
EFM ipo poa
Sikuona tatizo lolote. Nampongeza KP kwa kubadilisha mwelekeo wa kipindi, kuna kitu anataka kukifanya pale PB ila hataki haraka, amekuwa akiwaalika watu ili ku clarify mambo yanayojiri. Tumemsikia akimuhoji Lipumba na pia Mtatiro. Jamaa anajitahidi na anaonyesha ukongwe ni dawa.Nimesikiliza ila sijaona tatizo inawezekana baadhi ya wasikilizaji wana vitu vyao wanataka wavisikie nway radio zipo nyingi tu,unaweza badilisha channel au ukazima radio kabisa
mji kasoro je?93.7
Knlisikikiza asubuh kipanya amekashifu sana wale watu wanufaika wa TASAF wale wa kaya maskin...jamaa kawakashifu utadhan hana ndugu maskini yan!!!!iliniboa sana ila ilibid nskilize maana nlikuwa katika daladala
Ungemuomba 2 dereva afunge hyo radionlisikikiza asubuh kipanya amekashifu sana wale watu wanufaika wa TASAF wale wa kaya maskin...jamaa kawakashifu utadhan hana ndugu maskini yan!!!!iliniboa sana ila ilibid nskilize maana nlikuwa katika daladala
93.7 au wapate kupitia tunein efm utawapata kokote dunianiwanazingua kweli kweli, naomben freq za E FM
Jifunze kusoma "between the lines " nani kasema kwa sababu yule ni mbunge wa CCM?? Hoja ni kuwa hawajamtendea haki…… kabla hajakamilisha kutoa maelezo wao wameweka yao kiasi hata unashindwa kupata message vizuri msikilizaji…sio kila kitu ccm au UKAWA!Mbona mahojiano yalikuwa mazuri tu, au mnataka mnachofikiria nyie ndicho kitokeee. Kikubwa yule ni Mbunge wa CCM na wengi wetu humu ni wale tusiopenda mazuri kwa wenzetu wa ccm so Kitendo cha Mhe. Mbunge kuonekana umezushiwa ile stori kwetu ni KERO, Hajahojiwa vizuri, Redio iliyomhoji ni Ovyo nk. Tuache Chuki, tupendane Daima na Kamwe Adui yako Usimwombee Njaa. Asbh njema Watanzania wenzangu.
Mpompompo huyo mkaushieJifunze kusoma "between the lines " nani kasema kwa sababu yule ni mbunge wa CCM?? Hoja ni kuwa hawajamtendea haki…… kabla hajakamilisha kutoa maelezo wao wameweka yao kiasi hata unashindwa kupata message vizuri msikilizaji…sio kila kitu ccm au UKAWA!
Kipindi kilikuwa cha hovyo mno,ni vile tu wife ndio ali tune kwenye gari na niliogopa kumkera.Mbona mahojiano yalikuwa mazuri tu, au mnataka mnachofikiria nyie ndicho kitokeee. Kikubwa yule ni Mbunge wa CCM na wengi wetu humu ni wale tusiopenda mazuri kwa wenzetu wa ccm so Kitendo cha Mhe. Mbunge kuonekana umezushiwa ile stori kwetu ni KERO, Hajahojiwa vizuri, Redio iliyomhoji ni Ovyo nk. Tuache Chuki, tupendane Daima na Kamwe Adui yako Usimwombee Njaa. Asbh njema Watanzania wenzangu.
Umeelewa kinacholalamikiwa au mkurupuko tu???Mbona mahojiano yalikuwa mazuri tu, au mnataka mnachofikiria nyie ndicho kitokeee. Kikubwa yule ni Mbunge wa CCM na wengi wetu humu ni wale tusiopenda mazuri kwa wenzetu wa ccm so Kitendo cha Mhe. Mbunge kuonekana umezushiwa ile stori kwetu ni KERO, Hajahojiwa vizuri, Redio iliyomhoji ni Ovyo nk. Tuache Chuki, tupendane Daima na Kamwe Adui yako Usimwombee Njaa. Asbh njema Watanzania wenzangu.
Mmemwita mtu kwenye kipindi chenu PB leo tar. 19/10/2016, (Prof. Norman Sigara ) mb. Kwa nini msimuache akasimulia tatizo lake tumsikilize badala ya kila mara ku-interfere the talk??
Inafika mahala mtangazaji unakuwa kama hiyo story unaijua in and out na mliyemwalika ni kama mmetaka tu afike kuonyesha mme balance story!