Clouds FM utangazaji huu unakera

Clouds FM utangazaji huu unakera

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,150
Mmemwita mtu kwenye kipindi chenu PB leo tar. 19/10/2016, (Prof. Norman Sigara ) mb. Kwa nini msimuache akasimulia tatizo lake tumsikilize badala ya kila mara ku-interfere the talk??

Inafika mahala mtangazaji unakuwa kama hiyo story unaijua in and out na mliyemwalika ni kama mmetaka tu afike kuonyesha mme balance story!
 
Nimesikiliza dakika moja nikajifungulia redio upendo kula Gospel... Clouds sa hivi hakuna kitu
 
Mmemwita mtu kwenye kipindi chenu PB leo tar. 19/10/2016, (Prof. Norman Sigara ) mb. Kwa nini msimuache akasimulia tatizo lake tumsikilize badala ya kila mara ku-interfere the talk??

Inafika mahala mtangazaji unakuwa kama hiyo story unaijua in and out na mliyemwalika ni kama mmetaka tu afike kuonyesha mme balance story!
hao jamaa sijui nani anawapa kiburi,kuna siku wanaamua tu wanaongelea mambo ya kunya mavi eti,kipindi cha jahazi kuna siku kibonde na huyo mzee wa kukojoza walikuwa wanaongelea ishu za kunya a.k.a kukata gogo kipindi kizima
 
wanazingua kweli kweli, naomben freq za E FM
 
Je tangu lini utangazaji wa ki-singeli ukaweza kuongoza mjadala?
Poleni mnaoendelea kusikiliza hiyo redio.
 
nlisikikiza asubuh kipanya amekashifu sana wale watu wanufaika wa TASAF wale wa kaya maskin...jamaa kawakashifu utadhan hana ndugu maskini yan!!!!iliniboa sana ila ilibid nskilize maana nlikuwa katika daladala
 
Nimesikiliza ila sijaona tatizo inawezekana baadhi ya wasikilizaji wana vitu vyao wanataka wavisikie nway radio zipo nyingi tu,unaweza badilisha channel au ukazima radio kabisa
 
Hii radio huwa nasikiliza michezo saa 3 usiku basi, vipindi vingine ni majanga mambo ya utani muda wote sijui bonge nini mambo ya ajabu ajabu.
 
Clouds ina wasikilizaji wengi sana kumbe! Mimi huwa nasikiliza kuburudika nacheka safari nzima, sitegemei mtangazaji atangaze ninavyotaka mimi au kwa standard zangu, sio rahisi.
 
Hii radio huwa nasikiliza michezo saa 3 usiku basi, vipindi vingine ni majanga mambo ya utani muda wote sijui bonge nini mambo ya ajabu ajabu.

Na wana vipindi 7 tu kwa siku.....full matangazo siku nzima, yaani afadhali hata PB sikipendi kipindi cha sijui xxl, huwa sielewi wanaongea nini zaidi ya makelele, kipindi chao bora ni sports extra tu....
 
hao jamaa sijui nani anawapa kiburi,kuna siku wanaamua tu wanaongelea mambo ya kunya mavi eti,kipindi cha jahazi kuna siku kibonde na huyo mzee wa kukojoza walikuwa wanaongelea ishu za kunya a.k.a kukata gogo kipindi kizima
Na masaa matatu unasikiliza tu stori za kukata gogo, ili upate cha kutuhadithia?
 
Mbona mahojiano yalikuwa mazuri tu, au mnataka mnachofikiria nyie ndicho kitokeee. Kikubwa yule ni Mbunge wa CCM na wengi wetu humu ni wale tusiopenda mazuri kwa wenzetu wa ccm so Kitendo cha Mhe. Mbunge kuonekana umezushiwa ile stori kwetu ni KERO, Hajahojiwa vizuri, Redio iliyomhoji ni Ovyo nk. Tuache Chuki, tupendane Daima na Kamwe Adui yako Usimwombee Njaa. Asbh njema Watanzania wenzangu.
 
Back
Top Bottom