Clouds Fm na ubanaji wa majina ya wasanii on air.

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,891
Reaction score
95,196
Umofia kwenu wana JF,
Nimefanya research clouds Fm radio na kugundua kwamba endapo msanii ataenda kinyume na managent{ruge&joe} basi wimbo wowote ambao ametajwa huyo msanii basi wata futa ilo neno wimbo ukienda hewani,baadhi ya nyimbo ambazo wasanii majina yao yamefutwa kwenye nyimbo walizojatwa ni:-
1.Ni ghetto langu,kwenye intro neno pfunk limetolewa na pia kwenye verse ya pili sehemu inayosema "kama haumini muulize hata P" neno P wanalikata
2.kwenye wimbo alioiba ben pol jikubali kuna mstari unasema "unaweza kuwa lady jaydee unaweza kuwa zitto" neno lady jaydee limefutwa
3.Kuna kipindi inspecta harun alivyogombana nao na kipindi hcho ngoma ya buzi ina bang na watu wakawa wanairequest ikabid waipige hewani coz kuna msanii wao wa smooth vibes n.k.a prime time promotion lakini kwenye verse ya inspector wakafuta vesi yote.

CLOUDS Fm mmeishiwa jipangeni upya huo upompompo wa kufutafuta unazidi kuwachimbia kaburi.
 
Hata wewe kwenye biashara yako, ikitokea huelewani na mtu, si unaachana naye..??? Sijaona jipya hapo
 
Katika redio ambazo umaarufu wake unapungua ni Clouds Fm....Clouds ya sasa hivi siyo ile clouds ya miaka mitano nyuma..

Kwa upande wangu mm hakuna kipindi hata kimoja kinacho nivutia...Labda sports extra kwa mbaaali...
 
Mimi pia nilishaacha kuisikiliza hiyo redio siku nyingi..

Ila kwenye swala la kumodify/kubadili maudhui au hata mtiririko wa nyimbo nadhani si sahihi kama mwenye kazi yake hajatoa idhini. kwenye copyright huwa nasikia ule mstari wa all rights reserved unakataza kubadili kazi ya sanaa bila idhini ya mmiliki..kama nimekosea tusaidiane kwenye hilo.
 
ur right my friend,Ku modify wimbo kisa umegombana na mtu ambaye ametajwa ni umbuluraz,kumodify ili uwe clean version kufuta derrty words sio mbaya lakini kufuta majina ni upompompo.
 
Watu bwana mara oh nilishaacha kuisikiliza hii redio zaman sana!!!!

tena wanasikiliza kwa makini na kujua each and every word kwenye nyimbo!!!!!

Uki compare zamani na sasa yani ni kama sisikilizi Clouds FM,uwa natune kwenye habari za magazeti asubuhi power Break fast yakiisha basi narudi tena kwa xxl baadhi ya segment kama u-heard na Hot 3 @ 3
 
Sasa Hapo Ndio huwa nawashangaa Saana ndugu zangu si muache kusikiliza hii radio! kila siku mnatuletea bandiko jipya humu jamvini mara Radio wafuuu mara ru gay yanini yote sikilizeni radio nyingine zipo Nyingi tu Mbona mnazidi kuwapa cheap popularity hawa jamaa mi nshahama kitambo nasikiliza Radio nyingine tu hata PBF Nilikuwa nikitune nikiwahi kazini Asubuhi pia nimetoa
 
Redio ya chama hio, ni heri wapige kwaya na ngojera za teja Komba
 
Uki compare zamani na sasa yani ni kama sisikilizi Clouds FM,uwa natune kwenye habari za magazeti asubuhi power Break fast yakiisha basi narudi tena kwa xxl baadhi ya segment kama u-heard na Hot 3 @ 3

hivyo ndio watu wanavyosikiliza labda uwe huna kazi ndio utasikiliza kila kipindi.....kila redio kwa kawaida unachagua cha kusikiliza,huwezi kusikiliza kila kitu...
 
Back
Top Bottom