baadae nikabaini kuwa kila nikitumiwa meseji moja nakatwa Tsh.350,000.Kinacho niudhi ni meseji zenyewe za kijinga tu.
Napenda kutoa malalamiko yangu kupitia blog hii makini naamini kuna wana clouds watanifikishia ujumbe huu.Kuna ujumbe wanatuma kupitia simu ya kiganjani ambayo huwa imetoka clouds kwanza +15556.Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikitumiwa hizi meseji bila kujua,baadae nikabaini kuwa kila nikitumiwa meseji moja nakatwa Tsh.350,000.Kinacho niudhi ni meseji zenyewe za kijinga tu.
Kha! mkuu kweli?
Kuna meseji flani iwa zinatumwa kwenye cmu ukiaccept unaweza ukawa unaliwa 350 kwa siku cha kufanya wasiliana na kampuni ya mtandao wa cmu unayo tumia watakuondoa au kukata kuliwa pesa yako. Kama tiGo wapigie kwa kutumia hii 0713800800.

mkuu,
laki tatu na nusu (Tsh. 350,000) au mia tatu hamsini (Tsh. 350)??
Kha! mkuu kweli?
Kuna meseji flani iwa zinatumwa kwenye cmu ukiaccept unaweza ukawa unaliwa 350 kwa siku cha kufanya wasiliana na kampuni ya mtandao wa cmu unayo tumia watakuondoa au kukata kuliwa pesa yako. Kama tiGo wapigie kwa kutumia hii 0713800800.
haya madubwasha ni mtandao wa vodacom kaka....nisaidie namba yao.....najua kuwa ''USAWA HAUPATIKANI KWA MZANI KUWA SAWA...ILA INATEGEMEA NA MPIMAJAI MWENYEWE''
Dah pole mkuu sasa cha kufanya wewe nenda mguu kwa mguu mpaka kwa hao VODA wenyewe siamini kama hao Clouds kama wanahusika kufyonza pesa yako bila kushirikiana na VODA wenyewe lazima kuna kitu nyuma ya pazia.
kusema voda hawahusiki ni wizi mtupu...ni 350/= kaka ila nimevumilia sana sasa nimechoka......
kusema voda hawahusiki ni wizi mtupu...
Hizo namba zenye digit tano, eg 15572, 15578 etc huwa ni makubaliano ya mitandao ya simu, mtoa matangazo na TCRA. Kwa mfano kupiga simu kuwaondoa watu BBA, ile namba inaypotumika wahusika wakuu ni BBA, TCRA na mitandao ya simu inayotajwa. HATA HIVYO POLE, ACHA KUTUMA SMS KWENDA NAMBA USIZOZIJUWA.pole kaka , pigia simu watu wa mtandao ulioko ujinasue