balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,667 Reaction score 15,395 Apr 28, 2024 #1 Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
Witch hunter JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 2,101 Reaction score 6,008 Apr 28, 2024 #2 Mmmhhhh.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,660 Reaction score 39,012 Apr 28, 2024 #3 Insshangaza
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,268 Apr 28, 2024 #4 balibabambonahi said: Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli! Click to expand... hata mie nikewasikia nikashangaa
balibabambonahi said: Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli! Click to expand... hata mie nikewasikia nikashangaa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 50,904 Reaction score 122,795 Apr 28, 2024 #5 😂😂 Labla wameiona siku ya mechi itakavyokuwa
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,374 Reaction score 23,003 Apr 28, 2024 #6 Wanaangalia live score 😂
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,667 Reaction score 15,395 Apr 28, 2024 Thread starter #7 Nikikuta wanaichambua kesho sitashangaa.
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,168 Reaction score 8,972 Apr 28, 2024 #8 myuzik na futball wapi na wapi?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,410 Reaction score 127,493 Apr 28, 2024 #9 balibabambonahi said: Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli! Click to expand... Wasamehe Mkuu bado wana Wenge la Msiba ukizingatia wengine nao wako katika Chain ijayo kutokana na Kushea!!!
balibabambonahi said: Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli! Click to expand... Wasamehe Mkuu bado wana Wenge la Msiba ukizingatia wengine nao wako katika Chain ijayo kutokana na Kushea!!!
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,500 Reaction score 11,317 Apr 29, 2024 #10 balibabambonahi said: Nikikuta wanaichambua kesho sitashangaa. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
balibabambonahi said: Nikikuta wanaichambua kesho sitashangaa. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,181 Reaction score 20,469 Apr 29, 2024 #11 balibabambonahi said: Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli! Click to expand... Wachambuzi wote pale clouds ni walozi, inawezekana wanaangalia mechi ya kuzimu!
balibabambonahi said: Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli! Click to expand... Wachambuzi wote pale clouds ni walozi, inawezekana wanaangalia mechi ya kuzimu!
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 9,857 Reaction score 14,145 Apr 29, 2024 #12 Clouds ilikwisha alipofariki Ruge. Kilichopo ni "chombo cha mipasho".