johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Zamaradi ndio nani tena?!!Hujaelewa nini? Ruge kuviziwa na Zamaradi.
Mkuu ndio wewe kweli,Video za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.
Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
Kuna wakati huwa unasomeka na wakati mwingine unakuwa chenga full!Video za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.
Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
WAO WALITAKAJE KWANZA... wafurahishwe wao? nadhani c clouds ni mtangazaji mmoja shabiki saaana wa yule UCHWARRRRAA...Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana. Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?....... Source kipindi cha Clouds 360!
Vipi ile ya Wema na mbowe nayo tuseme ni Feki nyie chama cha matapeli mlitengeneza sioKideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.
Upinzani wao kuumizana na kusubiri kuomba pesa za mtibabu watanue nazo.
Lissu atakapo pona atakuwa amewajua.. dereva wakusaidia eti mnamfichia Kenya!!.. ha haaaa kuogopa atawatumbua... hao waondoshwe huko Kenya wanaweza kumdhuru mgonjwa zaidi
Ni watu hatari kisa kiki za siasa zisizo na ubunifu kabisaaaaa.
Familia wafukuzeni hao waliomtenda..
Kama na Ruge alirekodiwa naanza kupata mwanga kwanini wale watangazaji walikuwa wanajadili huku wamefura kwelikweli, mimacho imewatoka na kutema povu la kutosha. Kumbe mdomoni wanamtaja Nassari lakini moyoni wanamnanga huyo aliyemrekodi boss wao!!Au kurekodiwa kwa Ruge ndo kumezalisha haya