Clouds 360 ni tawi la UVCCM?

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
490
Reaction score
459
Hawa jamaa wa 360 kiukweli
Wanavyojadili mada hii nyalandu
Na huyu MTU mfupi anaposema SINGIDA HAWAJAFURAHI hatujui utafiti wake kafanya lini
Na huyu jamaa huwa anaonekana NI mnazi kindakindaki...
NA HAWA JAMAA HAWAONEKANI KUWA FREE MINDED......hovyooo kabisa kipindi kizima wanajadili kumkosoa nyalandu
 
Reactions: MTK
Hao magasho wanatafuta udc kwa nguvu na kujitoa akili,huyo mfupi alidumaa akiwa mdogo hata kauli zke zimedumaa
 
Free mind! Bila shaka kwa vigezo vyako akimkosoa JPM utasema ana "free mind" ndiyo mtazamo wenu finyu ulivyo.
Hayo ni mawazo yake ndiyo "free mind" hiyo. Na wewe una haki ya kuwa na mawazo tofauti.
Duh hamchoki kwa propaganda mitandaoni?
 
Mh free mind kwako ni ipi/nini!?
 
Mkuu me nadhani kila mtu anawaza kwa namna anavyoona ni sawa kwake na hio ndio free mind
 
Hawa clouds hawafahi hata kidogo, kazi kulamba miguu ya ccm, tuliwaonea sympathy wakati wa kuvamiwa na bashite, kumbe mshenga wao. Baada ya kugundua clouds ni kama uhuru FM sitaki kuwasikiliza tena
 
Wanaharibu kipindi sana siku hizi,
Akiongea Hassan (mwenye) Ngoma hua naweka mute kwenye sauti
 

Umesahau yule mwenzao ni mkurugenzi wilaya fulani, wanamalengo ya mbali hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…