Mwenzao alipata uteuzi "kimasihara "Kama wewe ni Mtanzania wa kutafuta habari ambazo ni balanced na zisizokuwa biased basi usipoteze muda wako wenye thamani kuangalia hawa Clouds asubuhi.
Double Standard
Kuna hako kafupi keusi aisee ni kafoolish.Kama wewe ni Mtanzania wa kutafuta habari ambazo ni balanced na zisizokuwa biased basi usipoteze muda wako wenye thamani kuangalia hawa Clouds asubuhi.
Double Standard!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka sana!!ngoja niache kuwaangaliaKama wewe ni Mtanzania wa kutafuta habari ambazo ni balanced na zisizokuwa biased basi usipoteze muda wako wenye thamani kuangalia hawa ngedere wa Clouds asubuhi.
Double Standard Fools!!!
Huyo mfupi ni Mchungaji Sasali yuko kwa Mtume MwamposaKuna hako kafupi keusi aisee ni kafoolish.
Na huuo mwingine kijakazi daily anasaka kiti maalumu huko lindi.
Jamaa ana kichwa kama kapondwa na dafuKuna hako kafupi keusi aisee ni kafoolish.
Na huuo mwingine kijakazi daily anasaka kiti maalumu huko lindi.
Kajamaa kapo shallow halafu kanajikuta bonge la genius.Kuna hako kafupi keusi aisee ni kafoolish.
Na huuo mwingine kijakazi daily anasaka kiti maalumu huko lindi.
Hawa watu we acha tuu ..Kuna yule fala mwingine tupa tupa ndio boya kabissaaaa🤡🤡
Anataka kufata nyayo za hasani awe katibu tawala na yeyeKajamaa kapo shallow halafu kanajikuta bonge la genius.
Ana force uteuzi kiasi kwamba amekuwa mpaka kero kabisa.
Kwa akili zile labda akawe msafisha vyoo Lumumba, asaidiane na kada mtiifu Mwashamwbwa.Anataka kufata nyayo za hasani awe katibu tawala na yeye