ALHAJI TECNO
Member
- Jun 17, 2017
- 10
- 6
Wana haki ya kutoa maoni kama alivyofanya Mwinyi japo siwapendi.Maoni yao hayo baba na were to a yako
KabisaYani wewe ndo umeonesha ni mjinga kuliko wao
habari za mda kidogo wadau...
moja kwa moja niende katika mada.hawa jamaa ni wanafiki wakubwa na mda mwingi wanatumia kupiga porojo tu. mfano mda huu wanazungumzia swala la maoni ya rais mstaafu alhaji mwinyi.. kama rais mwinyi ingekua uwezo wake angependa rais awe wa kudumu.
sasa basii awa jama wanajadili as if hiyo n storii kubwa ambayo inaweza take 30mints.. yani ni ujinga hassa mpaka inaudhi .
wote kwanza n wajuaji wote ndo wanaongoza kiipnd...ni vurugu na watu wamejaa sifa....
Issue y wanyama kupewa mtaa wanatetea aaaaahhaahh jiulizeni wanajimvi samweli sitta kapewa mtaa? wao wanasema eti fursa kumpa wanyama mtaa.....fursa ya kututangaza nje...how stupidity is this?
karibunii
Kwani umelazimishwa kuangalia?habari za mda kidogo wadau...

Kumbe Uhuru wa kutoa maoni now umekuwa shida maana naona kuna watu wanakereka. Unajua ukimchukia m2 ww ndiyo unahumia kuliko yeye. Achana nao na ww toa maoni yako.
nani huyoIla kuna mmoja hapo anasifa ya ujuaji tangu zamani...so huo ni uzaifu wake msamehe tuu
Naogopa kutekwa,ila nafahamiana nae Sana'a..nani huyo
Hahahah sawa mkuuNaogopa kutekwa,ila nafahamiana nae Sana'a..