dah kijana unaona easy eeh jengo la facebook tu halifanani na wizara yoyote ya tanzania kwa ukubwa na wingi wa wafanyakazi. Unachokiona facebook ni product yao hawajatumia script za kudownload kama wewe. Nakushauri bora umiliki kablog kako kadogo tu
Ndugu yangua Sam serevua bado kidogo kukuamini kuwa vitu vyetu vikikaa hapo vitasalimika kwani bado upo facebook ambayo mwanzilishi wake yupo hai.
Pili fungua About us terms, Privace, zote sio zako bado kwa hiyo usije poteza kumbukumbu za watu
Tatu nimeingia Google hiyo Bongobest wala sam Semvua bado havijafika kwao
nisikukatishe tamaa ulipofikia mbali maana sisi Watanzania ni Hodari
Got it, privacy zinakua handled within 48hrs.
Then kuhusu google na meta, web imekua uploaded jioni hii, effect zitaonekana within 24hrs according to google
Donn, hii sio jcow, ni phpfox
UI yake nimeamua kufananisha na fb ili kurahisisha watu kutambua vitu viloje vikowapi.
Worry not, nlishasema kwenye comments, a48hrs effect
Broo ili kuweza fanikiwa inabidi kupunguza hasiraa,in business you have to have Kalugha ka kimahaba. nimeipenda idea yako sio lazima kila mtu aajiriwe. Ila Inataka fanana na fb. Could you Uumiza kichwa very moNajua facebook hawajatumia script za watu. Na pia najua facebook (mark) hawakuanza from scratch, check out facemash.
Afu kuhusu ushauri kuwa nimiliki blog, am not here to handle ip's so as to sell ads, Everything depends on ones vision
I dont know you but from the way i read your ideas, i see you have no vision, I YOU ARE GOOD AT THINKING STUFF THAT ARE OUT OF MY SCOPE.
Sina mpango wa kuwa na hq kubwa kuliko wizara, wala kuwa na wafanyakazi wengi wasiofikiria mbali kama wewe. We unafkiri 2004 facebook ilikua na wokers wangapi?
Kama wote tutakuwa na akili kama zako, basi wote tutafanikiwa kuajiriwa (kama wewe) na kuishia kumtumikia bosi.
Bro, una umri gani?